1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakaliwood ni Hollywood ya Uganda

Sylvia Mwehozi
3 Aprili 2017

Wakaliwood ndiyo Hollywood ya Uganda. Katikati mwa Wakaliga, kitongoji kilicho katika mazingira duni katika mji mkuu wa Kampala, Isaac Nabwana amekuwa akitengeneza filamu kwa bajeti ndogo kwa miaka 8. Hivi sasa ni nyota wa kimataifa. Filamu zake zinatazamwa sana Youtube, hata waigizaji wa Hollywood walitaka kushiriki. Waganda wanaanza kugundua kwamba zipo filamu zilizotengenezwa nchini mwao.

https://p.dw.com/p/2aana