1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakili: Polisi hawataki kumpa Tundu Lissu haki zake

21 Julai 2017

Fatma Karume, wakili wa mbunge wa CHADEMA Tundu Lissu, asema hakuna ushahidi kwamba Lissu amefanya uchochezi. Ni baada ya mteja wake kukamatwa na polisi akishutumiwa kutoa maneno ya uchochezi.

https://p.dw.com/p/2gyIc
Tansania Fatma Amani Karume
Picha: privat

FATMA KARUME - MP3-Stereo