1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakimbizi wa DRC waishio Zambia warejeshwa makwao

9 Mei 2008

Nchini Kongo operesheni kubwa ya kuwarejesha makwao wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wanaoishi nchini Zambia imeanzishwa upya.

https://p.dw.com/p/DxMV

Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Wakimbizi UNHCR nchini Kongo wakimbizi zaidi ya mia nane
walirejeshwa mjini MOBA ulio kwenye jimbo la Katanga wiki hii . Hata hivyo shirika hilo limefahamisha kwamba kuna wakimbizi wengine ambao wamekataa kurejea makwao kwa hofu ya usalama
wao.

Taarifa kamili na mwandishi wetu wa Kinshasa Saleh Mwanamilongo