1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wakimbilia nchini Uganda

12 Septemba 2008

Nchini Uganda mamia ya wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wanaripotiwa kuingia nchini humo kwa sababu ya machafuko yaliyokuwa yakiendelea kwenye eneo la Mashariki mwa Kongo.

https://p.dw.com/p/FHAQ
Wakimbizi wa DRC nchini UgandaPicha: AP

Wakimbizi hao wanaripotiwa kuingia Uganda kupitia eneo la magharibi la Bunagana na Kisoro linalopakana na Kivu ya kaskazini mashariki mwa Kongo.Mapigano kati ya wanajeshi wa serikali ya Kongo na waasi wanaoongozwa na Laurent Nkunda yalianza mwishoni mwa mwezi Agosti.

Kutoka Kampala Ismail Kigozi anaarifu zaidi