1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanajeshi wawili wahukumiwa kifo Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

17 Aprili 2007

Wanajeshi wawli nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamehukumiwa adhabu ya kifo kwa kuhusika na mauaji ya mwandishi wa habari wa gazeti moja mashuhuri nchini humo mwezi Novembea mwaka 2005.

https://p.dw.com/p/CHGC

Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anaripoti kamili.