1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake Kenya kunyimwa haki ya kumiliki mali ya ndoa

13 Novemba 2013

Bunge la Kenya limeidhinisha mswada unaowanyima wanawake haki ya kugawana nusu kwa nusu mali ya ndoa kama watatalikiana na waume zao. Mume na mke watagawana mali ya ndoa kulingana na mchango wa wote

https://p.dw.com/p/1AGLf
Picha: Olga Khoroshunova/Fotolia

Pia mswada huo kama utaidhinishwa kuwa sheria, watu waliooana wanaweza tu kugawana mali ambayo inamilikiwa kwa pamoja yaani iliyosajiliwa chini ya majina yao wote. Mali iliyo chini ya jina la mtu mmoja haitakuwa mali ya ndoa.

Mwandishi: Caro Robi

Mhariri: Josephat Charo