1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wa mashariki DRC wapiga hatua licha ya vita

18 Oktoba 2023

Licha ya kukumbwa na miongo mingi ya vita na mashambulizi ya kila aina dhidi yao, wanawake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameamua kutokuviacha vita kuwanyang'anya umadhubuti na moyo wao wa kujileletea maendeleo. Ruth Alonga anazungumza na miongoni mwa wale waliojikusanya kubuni na kushajiisha wenzao kwenye miradi ya maendeleo.

https://p.dw.com/p/4Xg8y