1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake waandamana nchini DRC kupinga vitendo vya Ubakaji

10 Novemba 2008

Maelfu ya wanawake wa Kongo wameandamana mjini Kinshasa ilikupinga vitendo vya ubakaji wanavyotendewa wanawake wenzao na ukosefu wa usalama mashariki mwa nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/Fqx3
Wanawake walioathirika na ubakaji nchini DRCPicha: picture-alliance/dpa

Wanawake hao ambao wamepanga kuandamana kwa kipindi cha siku tatu mfululizo wameiomba jumuiya ya kimataifa kuwarejesha makwao wapiganaji wa kigeni hasa wale wa FDLR kutoka Rwanda.

Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo