1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wajitosa katika ujasiriamali

27 Julai 2016

Shughuli za ujasiriamali zimeshika kasi visiwani Zanzibar. Mwandishi wetu Khatib Mjaja anasema kundi la wanawake na wasichana hawako nyuma kuchangamkia nafasi hizi.

https://p.dw.com/p/1JWiI
Tansania Sansibar Bimvua Omar Dawa im Dorf Majenzi Micheweni
Picha: DW/K. Mjaja

[No title]

Bimvua Omar Dawa, mkazi wa kijiji cha Majenzi Micheweni, Zanzibar, aliwashangaza Wajerumani kwa umahiri wake wa kusuka mikoba.

Tansania Sansibar Bimvua Omar Dawa im Dorf Majenzi Micheweni
Picha: DW/K. Mjaja

Kwake yeye shughuli za ujasiriamali ni fursa adimu zinazompatia manufaa makubwa.

Tansania Sansibar Bimvua Omar Dawa im Dorf Majenzi Micheweni
Picha: DW/K. Mjaja