1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Warsha ya Elimu juu ya amani iliyofanyika mjini Mombasa,Kenya

16 Septemba 2009

<p>Mkutano wa siku tatu wa mawaziri wa elimu kutoka mataifa yanayokabiliwa au kuwahi kukumbwa na mizozo barani Afrika, umemalizika jana Mjini Mombasa Kenya.

https://p.dw.com/p/JiGn
Mawaziri wakipitisha azimio la kujumuishwa kwa somo la kudumisha amani kwenye utaratibu wa masomo katika nchini zao

Mwandishi wetu Eric Ponda amekuwa akifuatilia mkutano huo na kutuandalia taarifa ifuatayo.