1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Washington: Mkutano wa Kimataifa wa Ukimwi

Samia Othman25 Julai 2012

Marais wastaafu wa Afrika wametoa wito kwa familia za nchi hizo kuwa wazi kuzungumzia athari zinazopelekea maambukizi ya ukimwi.

https://p.dw.com/p/15eK8
Mkutano wa Ukimwi wafanyika Washington,Marekani
Mkutano wa Ukimwi wafanyika Washington,MarekaniPicha: picture alliance/dpa

Marais hao akiwemo Benjamin Mkapa wa Tanzania, Joachim Chisano wa Msumbiji, na viongozi wengine wamesema hayo mjini Washington DC kwenye mkutano wa kimataifa wa ukimwi unaohudhriwa na zaidi ya mataifa 190 duniani.

Mwandishi wetu Flora Nzema ana taarifa zaidi.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Flora Nzema

Mhariri: Othman Miraji

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi