1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Wasichana waolewe wakiwa na umri gani?

2 Agosti 2016

Serikali ya Tanzania imekata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kutaka umri wa kuolewa uongezwe kutoka miaka 14 au 15 hadi miaka 18. Helen Kijo-Bisimba wa kituo cha sheria na haki za binadamu afafanua.

https://p.dw.com/p/1JaM0
Msichana aliyebeba mtoto wake mkononi
Picha: picture-alliance/ZUMA Press/M. Ponir Hossain

[No title]