1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watanzania wanne wauliwa Msumbiji

Elizabeth Shoo11 Februari 2016

Kamanda wa polisi mkoani Mtwara, Henry Mwaibambe, anaripoti kwamba Watanzania hao walikuwa wakifanya biashara ya madini Msumbiji. Inaaminika kwamba wauaji walikuwa majambazi.

https://p.dw.com/p/1HtxX
Majeneza ya Watanzania waliouliwa Msumbiji
Picha: DW/S. Mkalibala

[No title]