1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watoto milioni 28 hawana makazi duniani sababu ya vita

7 Septemba 2016

UNICEF yatoa ripoti inayosema watoto milioni 28 hawana makazi duniani kutoka na mizozo ya vita. Ndege za kivita za Syria zashutumiwa kuangusha mabomu yaliyo na gesi ya Chlorine. Na mamlaka za Uturuki zimeuchukua kwa nguvu mkanda wa mahojiano ya DW na waziri wa michezo na vijana wa Uturuki.

https://p.dw.com/p/1JxJV