1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watumiaji wa WhatsApp waliogeuka wasamaria wema

Mohammed Khelef
18 Novemba 2016

Mitandao ya kijamii sio tu ni njia ya kuwasiliana na ama hata ya kujitangaza kibiashara, bali pia ni njia ya kuwasaidia wenye uhitaji. Hilo ndilo alilokumbana nalo Mohammed Khelef wakati akiwa visiwani Zanzibar, ambapo vijana wameunda kundi kwenye mtandao wa kijamii wa WhatsApp linalojihusisha na kuwapatia misaada watu wenye matatizo na wasiokuwa na wa kuwasaidia.

https://p.dw.com/p/2Ss6O