1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wazanzibari sasa watalipia huduma ya kupatiwa maji safi na salama

Salma Said30 Septemba 2008

Zanzibari: Maji safi na ya salama sasa sio bure tena

https://p.dw.com/p/FRfe
Rais wa Visiwa vya Zanzibar. Mheshimiwa Amani KarumePicha: AP Photo

Serikali ya Zanzibar imeanza kuwatoza fedha wananchi kwa huduma ya maji safi na salama kuanzia mwezi Agosti 2008, ambapo wananchi wa kawaida watalipa shilingi 4,000, huku nyumba za ibada, ikiwemo misikiti na makanisa, itatakiwa ilipe shilingi 3,000, na ofisi za serikali zitatakiwa kulipa kuanzia shilingi 20,000 hadi laki mbili, itategemea na matumizi ya ofisi hizo ambapo viwango hivyo vitatakiwa kulipwa kila mwezi.


Zaidi ni kutoka kwa mwandishi wetu wa Visiwani Zanzibar, Salma Said