1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga nchini Tanzania

26 Septemba 2008

Waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga alikuwa Tanzania kwa ziara ya kikazi tangu tarehe 24 mwezi huu, ziara ambayo imemalizika leo hii, ambapo pia alikuwa na mkutano na waandishi wa habari.

https://p.dw.com/p/FPfc
Waziri Mkuu wa Kenya Raila OdingaPicha: AP


Christopher Bhuke alikuwepo katika mkutano huo na hii hapa ni taarifa yake.