1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri wa mambo ya nje wa Zambia ajiuzulu

Carolyne Robi Tsuma3 Januari 2018

Waziri wa mambo ya nje wa Zambia Harry Kalaba amejiuzulu wadhifa huo akitaja ongezeko la ufisadi serikalini kuwa sababu kuu na zaidi kuwa ufanywa na watu wanaotegemewa kupambana nao. Sikiliza mahojiano hapa

https://p.dw.com/p/2qIEP