1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wiki ya Biashara Afrika 2013

23 Aprili 2013

Kwa mara ya pili nchini Ujerumani kunafanyika mkutano wa wiki nzima wa ushirikiani wa kiuchumi baina ya Ulaya na Afrika. DW ni radio mshirika katika mkutano huo wa kimataifa

https://p.dw.com/p/184VM
Partnerlogo Africa Business Week
Partnerlogo Africa Business Week

Kwa mara ya pili nchini Ujerumani kunafanyika mkutano wa wiki nzima wa ushirikiani wa kiuchumi baina ya Ulaya na Afrika. DW ni radio mshirika katika mkutano huo. Mkutano huu wa sasa unalenga katika kuangalia matatizo ya ajila, uhaba wa wataalamu na kuzingatia Afrika kuwa mshirika thabiti wa biashara.