1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yajuwe maradhi ya kutoka damu puani

14 Julai 2011

Pua ni miongoni mwa viungo muhimu katika wajihi wa mwanaadamu, ambacho kwa sababu ya kukutana kwake moja kwa moja na mazingira, kinakabiliwa na hatari za mara kwa mara za maambukizi yanayopelekea maradhi mwilini.

https://p.dw.com/p/RZlq
Mtu na afya
Mtu na afyaPicha: DW

Maryam Dodo Abdallah anazungumzia sababu, athari na njia za kutibu na kujikinga maradhi ya kutoka damu kwenye pua.

Mtayarishaji: Maryam Dodo Abdallah
Mhariri: Othman Miraji