1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yajuwe maradhi ya kuvuja damu puani

24 Oktoba 2011

Pua ni kiungo chenye mishipa mingi zaidi ya damu kwenye uso wa mwanaadamu, jambo ambalo linakifanya kiwe rahisi kudhurika ikiwa mshipa wowote wa damu utapata athari, na matokeo yake yakawa ni kuvuja damu kutoka puani.

https://p.dw.com/p/Rsfw
Damu
Damu
Maryam Dodo Abdullah anazungumzia aina mbalimbali za maradhi yanayohusiana na uvujaji damu puani, sababu, tiba na kinga yake. Mtayarishaji: Maryam Dodo Abdullah Mhariri: Josephat Charo