1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yaliyovuma mitandaoni kuhusu wasanii na mtandao wa Intaneti.

Grace Kabogo
16 Machi 2017

Katika kipindi cha Sema Uvume Lilian Mtono anaangalia jinsi wasanii wanavyozungumzia ukuaji wa teknolojia na ilivyoweza kuwarahisishia kuuza ama kufikisha kazi zao kwa mashabiki, lakini pia utasikia kuhusu yaliyovuma mitandaoni hivi karibuni. 

https://p.dw.com/p/2ZGeR