1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

YANGON:Serikali yamteuwa mjumbe katika mazungumzo na San Suu kyi

9 Oktoba 2007
https://p.dw.com/p/C7HR

Serikali ya kijeshi ya Myanmar hatimae imemteuwa naibu waziri ambae ataanzisha majadiliano na kiongozi wa upinzani bibi Aung San Suu Kyi.

Kwa mujibu wa televisheni ya taifa hatua hiyo inalenga kutimiza ahadi ya serikali ya kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na bibi San Suu Kyi.