1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zambia ni mshindi wa kombe la Afrika

13 Februari 2012

Timu ya taifa ya Zambia , Chipolopolo imeandika historia jana mjini Libreville ilipoweza kutoroka na taji la ubingwa wa mataifa ya Afrika kwa mara ya kwanza , baada ya kujaribu mara tatu kufika fainali.

https://p.dw.com/p/142WC
Mashabiki wa timu ya Zambia katika kombe la Afrika
Mashabiki wa timu ya Zambia katika kombe la AfrikaPicha: dapd

Mashabiki wa soka nchini Zambia walikuwaje jana na hata leo hii , hawa hapa ni baadhi yao Sekione Kitojo aliweza kuzungumza nao.

Mwandishi: Sekione Kitojo

Mahariri: Abdul-Rahman