1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zambia wachagua rais na wabunge

11 Agosti 2016

Wapiga kura wajitokeza kuchagua rais na wabunge Zambia. Ujerumani yatangaza hatua mpya zaidi za kupambana na Ugaidi. Na Ukraine yaweka majeshi kwa tahadhari kufuatia tuhuma za Urusi kwamba iliishambulia Crimea na kuwaua askari wake.

https://p.dw.com/p/1Jgdw