1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar: Hali ya kiafya ya makamo wa kwanza wa Rais Seif Shariff Hamad

7 Machi 2011

Wasiwasi na tetesi zilizagaa Visiwani Zanzibar wiki iliopita kuhusu hali ya kiafya ya makamo wa kwanza wa rais wa visiwani humo, Maalim Seif Shariff Hamad, baada ya kujulikana alilazwa hospitalini Hyderabad,nchini India.

https://p.dw.com/p/10Ukv
Makamo wa kwanza wa rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharrif HamadPicha: DW

Kutaka kujua vipi hali ya mwanasiasa huyo inavyoendelea na ugonjwa aliokuwa nao, Othman Miraji alizungumza naye alasiri ya leo akiwa hospitalini, na alimwambia hivi:

Mwandishi: Othman Miraji

Mhariri: Josephat Charo