1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ZAnzibar: Kisiwa kilichojaa taka

Iddi Ssessanga
1 Agosti 2017

Zanzibar ni kisiwa cha mapumziko kinachovutia mamia kwa maelfu ya wageni. Lakini kisiwa hicho kinakabiliwa na tatizo kubwa la takataka. Kikundi kidogo cha kiraia kinafanya kazi ya kukusanya taka kutoka mitaani, na kuziuza taka hizo.

https://p.dw.com/p/2hV0Y