1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar: Maiti 68 zimepatikana katika ajali ya meli ya MV Skaget

20 Julai 2012

Idadi ya maiti za watu waliokufa katika ajali ya meli ya mv skaget iliyozama mapema wiki hii zanzibar ikifikia 68 huku changamto iliyojitokeza ni ya kusafirisha maiti za raia kutoka nje ya Tanzania.

https://p.dw.com/p/15bwe
Raia wa Kigeni waliookolewa katika meli ya MV Sakget
Raia wa Kigeni waliookolewa katika meli ya MV SakgetPicha: Reuters

Salma Said anaripoti kutoka Zanzibar.

(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Salma Said

Mhariri: Othman Miraji

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi