1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar: Msanii mkongwe wa Taarab "Bi Kidude" ni mgonjwa

21 Agosti 2012

Ni mwezi wa pili sasa Msanii mkongwe wa nyimbo za taarab Fatma Bint Baraka Maarufu Bi Kidude yupo ndani amepata ugonjwa wa kisukari hivi sasa.

https://p.dw.com/p/15tWe
Kisiwa cha Zanzibar anakotoka Bi. Kidude
Kisiwa cha Zanzibar anakotoka Bi. KidudePicha: Stefan Pommerenke

Jee huu ndio mwisho wa msanii huyu kukwea majukwaani?

Mwandishi wetu wa huko Zanzibar, Salma Said leo alimtembelea nyumbani kwa mtoto wake na kuonana nae nje kidogo ya mji wa Zanzibar na anatuletea taarifa zaidi.

(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi;: Salma Said

Mhariri: Josephat Charo

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi