1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar: Mzozo wa kupanuliwa eneo la Bahari ya Hindi

24 Januari 2012

Jana katika baraza la wawakilishi la Visiwani Zanzibar kulikuweko majadiliano makali kuhusu hoja iliowasilishwa na mwakilishi wa eneo la Mji Mkonge wa Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu,

https://p.dw.com/p/13omv
Blick von der tansanischen Insel Sansibar auf Fischerboote im Indischen Ozean. (Aufnahme vom 5.2.2003).
Kisiwa cha ZanzibarPicha: dpa

 Hii imetokana na ombi la serikali ya Muungano wa Tanzania kwa Umoja wa Mataifa kuomba nyongeza ya mpaka katika Bahari ya Hindi ni kuipokonya Zanzibar haki yake. Yeye alitaka kuwepo mazungumzo ya kuamua nani anamiliki eneo hilo kati ya Tanzania na Zanzibar.

Othman Miraji alimpigia simu Salim Said Salim, mwandishi wa habari mkongwe Visiwani humo, kutaka kujuwa nini kilichozunguka katika hoja hiyo ya mwakilishi Jussa Ladhu hata Wazanzibari kuwa na hamu na mjadala huo ....

Mwandishi: Othman Miraji

Mhariri: Saumu Yusuf