1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar yaadhimisha miaka 47 ya Mapinduzi

12 Januari 2011

Katika mahojiano haya, mmoja wa washiriki wa Mapinduzi ya Zanzibar ya 1964, mwanachama wa chama cha zamani cha Umma, Bwana Shaaban Salum, anazungumzia anavyoona Mapinduzi aliyoshiriki kuyafanya miaka 47 baadaye.

https://p.dw.com/p/zwf1
Kulia: Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein akipeana mkono na makamo wa kwanza wa Rais Seif Sharif HamadPicha: DW

Bwana Shaaban Salum alikuwa na haya ya kuelezea kuhusu anavyoyaona mapinduzi hayo, miaka 47 baadae.

Mwandishi: Halima Nyanza

Mpitiaji: Mohamed Abdulrahman