1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar yapiga maarufuku matumizi ya mifuko ya Plastiki

8 Agosti 2011

Mifuko ya Plastiki hairuhusiwi katika visiwa vya Zanzibar huko Tanzania.Serikali ya Zanzibar imetangaza rasmi utekelezwaji wa sheria nambari 49 iliyopitishwa mwaka 2008 juu ya kupiga marufuku matumizi ya mifuko hiyo.

https://p.dw.com/p/12Ctk

Kwa mujibu wa maarufuku hiyo kuanzia sasa yeyote atakayekutwa akitumia mifuko ya Plastiki anaweza kutozwa faini ya hadi shilingi millioni 1.5 za Kitanzania au kutiwa jela miezi Sita au kukabiliwa na adhabu zote mbili.

Je wataalamu wa masuala ya mazingira wameipokea vipi hatua hiyo.Nimezungumza na Hamza Zubeir Rijal mtaalamu wa Masuala ya Mazingira Zanzibar na alikuwa na haya ya kueleza.