1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zawadi ya Lotto yapanda.

3 Desemba 2007
https://p.dw.com/p/CW1g

Berlin. Bahati nasibu ya taifa nchini Ujerumani wiki hii itapanda na kufikia kiwango cha juu kabisa cha Euro milioni 43. Bahati nasibu hiyo ambayo huchezwa mara mbili kwa wiki haijapata mshindi tangu Oktoba 24, na zawadi sasa imepanda kuwa juu zaidi tangu mchezo huo kuanzishwa miaka 52 iliyopita.