1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

"Zitto ametukashifu Wazanzibari"

25 Novemba 2015

Mgombea wa ubunge Zanzibar kupitia CCM, Mohammed Said, asema si sawa kwa Zitto Kabwe kudai kuwa Mohammed Shein amefanya uhaini. Zitto Kabwe alisema hivyo alipozungumzia mkwamo wa kisiasa wa Zanzibar.

https://p.dw.com/p/1HCRU
Vijana katika kampeni Zanzibar
Picha: DW/M. Khelef

[No title]