1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zoezi la kurejeshwa makwao Wakaramajong wanao omba omba mjini Kampala

22 Februari 2007

Wakuu wa serikali ya Uganda wameanzisha zoezi la kuwarejesha makwao Wakaramajong wanao omba omba katika mji wa Kampala. Hatua hiyo inadaiwa inachukuliwa kwa minajili ya kuusafisha mji kabla ya kufanyika mkutano mkuu wa jumuiya ya madola mwezi Novemba mwaka huu.

https://p.dw.com/p/CHJb
Zaidi juu ya hayo anaripoti mwandishi wetu Omar Mutasa kutoka Kampala.