Merkel anaondoka Berlin leo kwa ziara ya siku tatu itakayomfikisha Burkina Faso, Mali na Niger/ Jumuiya ya wafanyabiashara Uganda imetishia kuhamasisha raia wa nchi hiyo kususia makampuni ya Afrika Kusini/ Burundi: Nkurunziza amewaahidi wafanyakazi, kuwa madai yao ya nyongeza ya mshahara yatashughulikiwa na tume maalumu na kwamba jawabu litapatika kabla ya mwaka huu kumalizika