1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.12.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S1 Desemba 2020

Siku ya UKIMWI duniani/ Maswala mengi yameibuka nchini Israel kufuatia mauaji ya hivi karibuni ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran/ Nchini Zimbabwe wataalamu wanasema makaburi ya halaiki ya watu waliouawa yanazidi kugundulika/ Barua kutoka Dar/ Congo: Watu wanaoishi na ulemavu mkoani kivu ya kaskazini wameilaumu serikali kwa kutowasidia katika kuboresha miundo mbinu

https://p.dw.com/p/3m3L0