1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.06.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S2 Juni 2020

Uchambuzi: Mauaji ya George Floyd ni ukumbusho pia juu ya ubaguzi dhidi ya watu weusi barani Ulaya/ China imeapa kuwa italipiza kisasi hatua ya rais Donald Trump wa Marekani ya kuwawekea izuizi wanafunzi wa China walio katika vyuo vikuu nchini Marekani/ Tanzania: Baadhi ya wazazi wamekuwa na hofu ya kuwapeleka watoto wao kwenye huduma za kliniki kwa kuhofia kupata maambuzi ya virusi vya corona

https://p.dw.com/p/3d84e