1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.09.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S2 Septemba 2021

Jeshi la polisi Tanzania limesema leo kuwa Hamza Mohammed ambaye baadae aliuwawa, alikuwa ni gaidi+++Mwanamuziki maarufu wa mtindo wa Rap kutoka Rwanda anayefahamika kwa jina la Jay Polly amefariki leo Alhamisi akiwa gerezani+++Msafara wa raia huko Kivu Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ulishambuliwa na waasi wa ADF+++Wanawake wa Afghanistan waandamana kutaka haki zao kulindwa+++

https://p.dw.com/p/3zpwN