1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.09.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S3 Septemba 2020

Familia na watu wa karibu wa mpinzani wa Rwanda Paul Rusesabagina, anaeshikiliwa tangu siku Jumatatu mjini Kigali,wanasema alitekwa nyara mjini Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu// Baada ya mwaka mzima wa kupapasa gizani akitafuta ujumbe wa kuendeshea kampeni yake, hatimaye Rais Donald Trump amepata kaulimbiu ya ''Utulivu na Kutii Sheria''.

https://p.dw.com/p/3hw8K