1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.08.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S3 Agosti 2020

Mji wa Dar es Salaam wapata mkuu mpya, Aboubakar Kunenge/ DRC: Juhudi za kusaka utulivu wa Kivu Kaskazini zaendelea/ Kenya: Wafanyibiashara wa miraa wameilaumu serikali ya jimbo lililojitenga la Puntland nchini Somalia kwa kuirejesha ndege iliyokuwa imebeba bidhaa hiyo kwa madai ya kukiuka masharti ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19/ WHO yautaka ulimwengu kupambana vikali na COVID-19

https://p.dw.com/p/3gMI6