1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.09.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S5 Septemba 2018

Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wanaonya kuwa uhalifu dhidi ya binadamu na matukio mengine ya ukiukaji wa haki za binadamu yanaendelea Burundi bila ya kuzuiwa, wakimlaumu Rais Pierre Nkurunziza kwa kuchangia katika maovu hayo kupitia matamshi yake ya chuki na ghasia.

https://p.dw.com/p/34NBA