1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.09.2020 Matangazo ya Mchana

Sudi Mnette
5 Septemba 2020

Wizara ya Ulinzi ya Uturuki imesema jeshi la nchi hiyo kesho litafanya mazoezi ya kijeshi katika eneo la Pwani ya Cyprus, pamoja na kugubikwa na mvutano unaondelea kati yake na Ugiriki kuhusu eneo la bahari linalozozaniwa la mashariki mwa bahari ya Mediterenia na jitihada za kimataifa za upatanishi.

https://p.dw.com/p/3i2S8