1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.05.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S7 Mei 2019

Kumekuwa na utata nchini Uturuki baina ya chama tawala cha AKP na chama cha upinzani cha CHP kufuatia kufutiliwa mbali kwa ushindi wa Meya wa Istanbul// Waandishi wawili wa habari wa shirika la habari la Reuters waliokuwa kizuizini nchini Myanmar wamechiliwa huru hii leo// Katika visiwa vya Komoro serikali imetoa uamuzi wa kukata asilimia 10 ya mshahara wa kila mtumishi wa serikali.

https://p.dw.com/p/3I4gL