Bahrain itacheza na hasimu wake wa muda mrefu, Iran, wiki ijayo katika kinyang'anyiro cha kufuzu kuingia fainali za Kombe la Dunia hapo mwaka 2014.
Bunge la Marekani linatarajiwa kupiga kura leo Juu msaada kwa Ukraine, Israel na katika eneo la kusini mwa Asia la Indo-Pacific+++Umoja wa Ulaya unapoteza ushawishi wake kwa wafanyabiashara na wasomi wa bara la Asia+++Miamba ya soka nchini Tanzania watani wa jadi Simba na Yanga zinakabiliana leo katika mchezo wa ligi kuu.
Iran yaashiria haina mpango wa kujibu shambulizi la Israel-ripoti+++Israel yasema imeruhusu msaada zaidi kuingia Gaza+++Chad yaitaka Marekani kusitisha shughuli zake za kijeshi nchini humo
Afisa wa ngazi ya juu wa Iran amesema kuwa nchi hiyo haina mpango wa kulipiza kisasi kwa kile kinachoelezwa na vyanzo vya habari kuwa shambulizi la Israel katika mji wa Isfahan usiku wa kuamkia Ijumaa.