1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.05.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S9 Mei 2019

Tanzania- Chama kikuu cha upinzani, CHADEMA, kimelitaka jeshi la polisi nchini humo kuharakisha kutoa taarifa za awali juu ya tukio linalotajwa la kutekwa kwa mwananchama wake aliyejipambanuwa kama mkosoaji mkubwa wa serikali ya awamu ya tano, Mdude Nyagali// Afrika Kusini-Matokeo ya awali ya uchaguzi yamekiweka chama tawala cha Africa National Congress ANC katika nafasi ya kusalia madarakani

https://p.dw.com/p/3IFej