1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.05.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S9 Mei 2019

Nchini Kenya rais na naibu wake wanajiandaa kuongezewa asilimia 3.9 ya mshahara// Kijana Mdude Nyagali, shabiki na mfuasi wa chama cha upinzani nchini Tanzania amepatikana leo katika eneo la Inyala, Mbeya vijijini// Mwili wa marehemu Dr Reginald Abraham Mengi uko katika kanisa la Kiinjili la Kiliuteri Tanzania, KKKT, usharika wa Moshi kwa ibada ya mwisho kabla kuzikwa baadaye leo.

https://p.dw.com/p/3IEdU