1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.08.2020 - Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S9 Agosti 2020

Mji wa Nagasaki nchini Japan umeadhimisha maika 75 tangu shambulizi la bomu la nyuklia. Raia wa Belarus wanapiga kura leo katika uchaguzi muhimu wa rais. Viongozi wa mataifa kadhaa wanashirkki mkutano wa kuchangia fedha za kuisadia Lebanon.

https://p.dw.com/p/3ggkf