1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.05.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S10 Mei 2019

Tanzania: Mahakama-sheria ya uchaguzi inayowapa uhalali wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi ni batili// Kenya: Majaji watatu wa mahakama kuu wanaandamwa na tuhuma za kutumia madaraka vibaya// Miaka 25 baada ya kumalizika mfumo wa ubaguzi wa rangi na mtengano Apartheid nchini Afrika Kusini, kila kitu kiko kama kilivyokuwa.

https://p.dw.com/p/3IJEa