1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.07.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S10 Julai 2019

Umoja wa Mataifa: Baa la njaa linaongezeka duniani/ Marekani yataka ulinzi wa baharini eneo la Iran na Yemen/ Kumekuwa na taarifa za watu mbali mbali kutekwa na baada ya muda kupatikana wakiwa wametelekezwa katika maeneo tofauti nchini Tanzania> Mahojiano/ Viongozi na wakaazi wa eneo la Njoro, Kenya, wanaililia serikali kuchukua hatua ya dharura kuhusu bwawa linalovuja eneo hilo kuepuka maafa

https://p.dw.com/p/3LqeN